Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan imetoa zaidi ya shilingi milioni 197 kutekeleza mradi wa ujenzi wa soko katika eneo la Peramiho Halmashauri ya Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma.
Menejimenti ya Mkoa ikiongozwa na Katibu Tawala Mkoa wa Ruvuma Ndugu Stephen Ndaki imekagua mradi huo ambao umefikia asilimia 85 na kuagiza kuongeza kasi ya ukamilishaji ili wananchi waanze kunufaika na mradi huo.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.