MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.Philip Mpango akipanda miti wa matunda aina ya parachichi kwenye uzinduzi wa kituo cha Afya Kata ya Lilambo Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma ambacho kimejengwa kwa mapato ya ndani kiasi cha zaidi ya shilingi milioni 500 kimetumika hadi sasa kutekeleza mradi wa ujenzi wa kituo hiki ambacho tayari kimeanza kutoa huduma kwa wananchi.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.