• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

MWENGE wa uhuru wazindua jengo la EMD Peramiho

Imewekwa kuanzia tarehe: May 10th, 2025

‎Mwenge wa uhuru umeendelea na mbio zake mkoani Ruvuma katika halmashauri ya Wilaya ya Songea na kuzindua jengo la matibabu ya wagonjwa wa dharula (EMD) katika hospitali ya rufaa ya misheni ya Mt. Joseph Peramiho.

‎Akitoa taarifa ya mradi wa jengo hilo, Mhandisi wa Hospitali hiyo, Greyson  Nyirenda, amesema hospitali hiyo ilipata kiasi cha fedha Bilioni 1,317,870,928.58 kutoka kwa wafadhili ambao ni shirika la kidini kwa ajili ya ujenzi wa jengo hilo.

‎Amebainisha kuwa mwaka 2022 idara hiyo ya wagonjwa wa dharula ilihudumia  wagonjwa 49,263, mwaka 2023 wagonjwa  61,233 na baada ya kukamilisha ujenzi wa jengo hilo Novemba 2024 mpaka sasa wagonjwa 13,922 wameshahudumiwa.

‎Akizungumza katika hospitali hiyo kiongozi wa mbio za mwenge kitaifa 2025, Bw. Isamail Ali Ussi, amesema kama kiongozi wa mbio za mwenge na wenzake wana imani kubwa na hospitali hiyo katika kutoa huduma za afya kwa wananchi.

‎Naye Waziri wa Afya na Mbunge wa Jimbo la Peramiho, Mhe. Jenister Mhagama, amesema hospitali hiyo imekuwa ni kitovu cha huduma za afya kwa kuwa wananchi wa nyanda za kusini wanafika kupata huduma katika hospitali hiyo.

‎Ameeleza kuwa Serikali inaendelea kushirikiana na taasisi za kidini na sekta binafsi ili kuhakikisha huduma za afya zinazidi kuwa bora na kuimarika katika nchi akisisitiza kuwa sekta hizo si washindani bali ni washiriki wa Serikali katika kutoa huduma bora za afya kwa wananchi.

Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma December 31, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KIONGOZI Mwenge wa uhuru ashiriki upandaji miti Songea

    May 11, 2025
  • MWENGE wa uhuru waweka jiwe la msingi shule ya amali Songea

    May 11, 2025
  • MWENGE wa uhuru wazindua jengo la EMD Peramiho

    May 10, 2025
  • MWENGE wa uhuru waingia Pers

    May 10, 2025
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.