NAIBU Balozi wa Ujerumani Tanzania Mheshimiwa Till Vnorn ametoa zawadi ya mpira kwa wanafunzi wa shule kongwe ya Msingi ya Majimaji iliyopo Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma
Balozi huyo akiwa na ujumbe wa watu 15 alifanya ziara ya siku mojja katika wilaya ya Songea ambapo pia alitembelea katika Makumbusho ya Taifa ya Majimaji yaliyopo Mahenge Songea na kutembelea Abasia ya Peramiho
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.