WATAALAM wamekuwa wanazitaja njia mbalimbali za kukabiliana na virusi hatari vya corona.Mganga Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Dr.Jairy Nkhanga anaitaja njia mojawapo rahisi isiyokuwa na gharama kubwa ambayo inaweza kuwasaidia wananchi wengi kujikinga na virusi vya corona.TAZAMA https://www.youtube.com/watch?v=rj1UHdZKRqY
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.