MRATIBU wa Shrika la kimataifa la PSI Kanda ya Kusini Edgar Mchaki amemkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme magari mawili kwa ajili ya kukabilaina na corona katika Mkoa wa huo ambao unapakana na nchi za Malawi na Msumbiji hivyo inatakiwa kuchukuliwa hatua kukabiliana na maambukizi ya ugonjwa huo ambapo hadi sasa watu 24 wamethibitika kuugua corona hapa nchini.
Tazama habari kwa kina hapa https://www.youtube.com/watch?v=mFNX7JpfrDw
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.