SERIKALI ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan imetoa shilingi milioni 900 kupitia TARURA kujenga daraja linalounganisha Namtumbo na vijiji vya Libango na mianzini vinavyoongoza kwa uzalishaji wa mazao ya chakula.
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas amekagua mradi huo ambao tayari umeanza kutoa huduma za usafirishaji.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.