SERIKALI ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan imetoa shilingi milioni 860 kujenga nyumba 12 za watumishi katika Halmashauri ya Madaba wilaya ya Songea mkoani Ruvuma..
Mradi wa nyumba hizo umetekelezwa katika kipindi cha miaka miwili ya Rais Samia madarakani ambapo utekelezaji wa mradi huo atika awamu ya kwanza zilijengwa Nyumba saba ikiwemo nyumba ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Madaba na katika awamu ya pili zimejengwa Nyumba tano za Watumishi
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.