Rais Dkt Suluhu Hassan amezindua barabara ya lami nzito kuanzia Mbinga hadi Mbamba Bay yenye urefu wa kilometa 66.
Ujenzi huo umefanywa na kampuni ya China Henan International Cooperation Group Co. Ltd na kusimamiwa na Wakala ya Barabara - TANROADS.
Mradi una thamani ya Shilingi bilioni 122.76 huku Shilingi milioni 637.4 zikitumika kulipa fidia kwa wananchi.
Barabara hii inaunganisha ushoroba wa Mtwara hivyo kuufungua ukanda wa kusini kiuchumi
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.