Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas amewahwaza na na walezi ambao bado hawajawaandikisha watoto wao waliyochaguliwa kujiunga na Elimu ya Sekondari na wale waliofikisha umri wa kujiunga na Elimu Msingi
Wito huo ameutoa wakati akizungumza na baadhi ya wazazi katika kijiji cha Lilondo kilichopo Halmashauri ya Madaba alipotembelea na kukagua shule mpya ya Sekondari ya Lilondo ambayo ujenzi wake umegharimu kiasi cha shilingi milioni 560.
Amesema Serikali imeisha lipa ada zote za wanafunzi na miundo mbinu iko vizuri kwakuwa serikali imeishatimiza wajibu wake kwa kujenga madarasa,matundu ya vyoo,ofisi za walimu imeleta vitabu vya wanafunzi hivyo nawahimiza wazazi walete watoto wao na wahakikishe watoto wao hawatoroki masomo ili wapate elimu
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.