Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas amewataka viongizi wa Halmashauri na watendaji kata wote kutoa elimu ya matumizi ya aridhi kwa wananchi ili kuepusha migogoro itakayosababisha maafa kwa jamii
Hayo ameyazungumza mbele ya Wananchi wa kijiji cha Mkuani Kata ya maguu Halmashauri ya Wilaya ya mbinga wakati alipo fanya mkutano wa azara kwa lengo la kutoa elimu kuhusu matumizi ya aridhi ili kuwasahidia kutambua matumizi sahihi
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.