Pichani ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Labani Thomas (Suti ya rangi ya kijivu) akiwa kwenye picha ya pamoja na Chifu wa Tano wa Kabila la wangoni Nkosi Imanuel Zulu Gama (watatu kushoto) na Manduna wapya wa nne ambao wamesimikwa kuwa wasaidizi wa chifu wa kabila la Wangoni ambapo sherehe hizo za usimikwaji imefanyika katika eneo la Maposeni Peramiho wilayani Songea mkaoni Ruvuma.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.