Picha ya kwanza juu ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas akipanda mti wa matunda mbele ya eneo la jengo la utawala katika shule mpya ya msingi Mchepuo wa Kiingereza inayoitwa Chief Zulu Academy iliyopo Manispaa ya Songea
Picha ya chini aliyeshika jembe ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Ruvuma Ndugu Stephen Ndaki akipanda mti pia kwenye shule hıyo.
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma akiwa na Kamati ya Ulinzi na Usalama amewaongoza wananchi kupanda ya miti 179 ya matunda na vivuli katika shule hiyo ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 62 ya Uhuru.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.