Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI anayeshughulikia Elimu Dkt Charles Msonde ameuagiza uongozi wa sekondari ya Mbambabay iliyopo Halmashauri ya Nyasa mkoani Ruvuma kuandaa bajeti ya kukamilisha mradi wa ujenzi wa jengo la utawala katika sekondari hiyo.
Ili kukamilisha ujenzi wa jengo hilo zinahitajika shilingi milioni 341 ambapo hadi sasa serikali imetoa shilingi milioni 200 hivyo ili kukamilisha mradi huo zinahitajika shilingi 141.
Naibu Katibu Mkuu TAMISEMI yupo mkoani Ruvuma kwa ziara ya kikazi ya kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo katika sekta ya elimu
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.