KAIMU Afisa Elimu Msingi katika Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma Dastan Chiyombo amesema serikali imetoa zaidi ya shilingi bilioni 1.2 kutekeleza miundombinu 83 katika shule za msingi
Chiyombo amesema hayo mjini Tunduru katika mahojiano maalum ambapo amesema fedha hizo zimetolewa kupitia program ya BOOST na kwamba utekelezaji wa miradi hiyo upo katika hatua za umaliziaji.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.