Serikali kupitia program ya SEQUP imetoa shilingi bilioni tatu kujenga sekondari ya Wasichana ya Mkoa wa Ruvuma kwa lengo la kuwekeza kwenye elimu ya mtoto wa kike ili kumpunguzia changamoto zinazowakabili
Sekondari hiyo ya Wasichana mkoani Ruvuma imejengwa eneo la Migelegele Kata ya Lwinga Wilaya ya Namtumbo na kupewa jina shule ya sekondari ya wasichana ya Dk Samia Suluhu, ambapo itakapokamilika itapokea wanafunzi zaidi ya 1000 na inatarajia kuanza Julai 2023.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.