Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas (katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na Katibu Tawala Mkoa wa Ruvuma Ndugu Stephen Ndaki,Mkuu wa Wilaya ya Songea Mheshimiwa Kapenjama Ndile na Wanafunzi wa awali hadi darasa la saba ambao wameripoti katika shule mpya ya msingi Lipupuma iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Madaba ambapo serikali imetoa kiasi cha shilingi milioni 331 kujenga Shule hiyo ya Mkondo mmoja.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.