Katikati ni Waziri wa Utamaduni,Sanaa na Michezo na Mbunge wa Jimbo la Songea mjini Dkt.Damas Ndumbaro akikaribishwa na baadhi ya viongozi kwenye uzinduzi wa kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa jimbo la Madaba wilayani Songea mkoani Ruvuma.
Uzinduzi huo umefanyika katika Kata ya Mtyangimbole ambapo Dkt.Ndumbaro pia alizindua mchezo wa mpira wa miguu kati ya wananchama wa CCM na vyama vya upinzani
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.