Pichani kushoto ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Ruvuma Ndugu Mary Makondo akipata maelezo ya mradi wa elimu katika shule ya msingi Lundusi Halmashauri ya Wilaya ya Songea.Menejimenti ya Mkoa wa Ruvuma ikiongozwa na Katibu Tawala wa Mkoa imekagua miradi katka Halmashauri hiyo na kutoa maelekezo kuhakikisha miradi inakamilika kwa wakati na kuanza kutoa huduma kwa wananchi
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.