PORI la Akiba Liparamba lipo katika Halmashauri ya Wilaya ya ya Nyasa mkoani Ruvuma likiwa limesheheni vivutio vya aina mbalimbali wakiwemo Wanyamapori,ndege wa aina mbalimbali,aina mbalimbali za mimea na miti pamoja na mito zaidi ya 25 ikiwemo mto Ruvuma wenye maporomoko yanayovutia.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.