Virusi hivi havijawahi kutokea kabla ya mwezi disemba mwaka 2019 na vikapewa jina la "novel coronavirus".
Virusi vya aina hii huwa kwa kawaida vinawaathiri wanyama lakini mara nyingine, vinaweza kuwapata binadamu, kwa mfano mlipuko wa ugonjwa wa 'Sars' ambao uliuwa watu wengi China.
SOMA habari kwa kina hapa ://www.bbc.com/swahili/habari-51276277
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.