Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme amewaagiza watendaji wa vijini,Kata na mitaa mkoani Ruvuma kuvifunga vijiwe vyote vya michezo mbalimbali ikiwemo pool na bao ili kuepusha mikusanyiko inayoweza kuongeza maambukizo ya virusi hatari vya Corona.TAZAMA ZAIDI HAPA https://www.youtube.com/watch?v=PvomD-eISLQ
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.