WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Innocent Bashungwa amewataka viongozi kuhakikisha kuwa wanafuatilia na kusimamia kikamilifu matumizi ya mfumo wa anwani za makazi ili kusaidia upatikanaji wa huduma kirahisi kwa wananchi.TAZAMA habari kwa kina hapa https://www.habarileo.co.tz/habari/2022-02-086202971fa5f2a.aspx
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.