Wanafunzi 205 wa kidato cha kwanza katika shule mpya ya sekondari Kungu katika kata ya Nakayaya Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma wameanza masomo baada ya serikali kukamilisha ujenzi wa sekondari kupitia program ya Uboreshaji Elimu ya Sekondari SEQUIP ambapo hadi sasa zaidi ya shilingi milioni 560 zimetumika.
Sekretarieti ya Mkoa wa Ruvuma ikiongozwa na Katibu Tawala Mkoa wa Ruvuma Ndugu Stephen Ndaki imekagua na kuridhishwa na maendeleo ya mradi huo.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.