Afisa Elimu Maalum katika Halmashauri ya Madaba wilayani Songea mkoani Ruvuma Teddy Sanga amesema hadi sasa katika Halmashauri hiyo wamebainika jumla ya watoto wenye ulemavu 149 ambao wanasoma katika shule za msingi zilizopo katika Halmashauri hiyo..
Amesema kati ya watoto hao wavulana ni 80 na wasichana ni 69 na kwamba katika mwaka wa masomo 2022/2023 wanafunzi 29 wenye ulemavu wameandikishwa na kuanza masomo masomo,hivyo ametoa rai kwa wazazi na walezi kutowafungua ndani watoto wenye ulemavu kwa sababu wana haki ya kupata elimu kama walivyo watoto wasiokuwa na ulemavu.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.