Pichani kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas akimkabidhi Tuzo Katibu Tawala wa Mkoa wa Ruvuma Stephen Ndaki iliyotolewa na wanawake wa Ruvuma kwenye kilele cha maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani ambazo kimkoa zimefanyika kwenye kiwanja wa CCM mjini Mbinga
Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas akimkabidhi Tuzo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Marco Chilya,Tuzp hiyo imetolewa na wanawake wa Ruvuma kwenye kilele cha maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.