Wakurugenzi Mkoa wa Ruvuma wasaini mikataba ya mfumo mpya wavusimamizi na utendaji kazi katika Utumishi wa Umma (PEPMIS) ambapo lengo kuu la Serikali ni kudhamiria kuimarisha Utumishi wa Umma kwa kuhimiza uwajibikaji wa hiari wa mtumishi kwa kujaza kazi anazofanya kila siku katika mfumo mahali popote ili kuongeza tija katika utoaji wa huduma kwa umma.
Hafla hiyo ya utiaji saini imefanyika katika ukumbi mipango uliyopo ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma na kuudhuriwa na Wakurugenzi wa Halmashauri zote, maafisa tehama pamoja Maafisa Utumishi ngazi ya Halmashauri zote za mkoa wa Ruvuma
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.