Waziri Mkuu Mheshimiwa Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi wa umma wa wilaya ya Namtumbo kwenye makazi ya Mkuu wa Wilaya hiyo Mkoani Ruvuma, Oktoba 18, 2022. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma , Kanali Thomas Laban,Waziri Mkuu yupo mkoani Ruvuma katika ziara ya kikazi ya siku mbili ambayo anatembelea Halmashauri za Namtumbo na Madaba.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.