KATIBU Tawala Mkoa wa Ruvuma Stephen Ndaki amehitimisha ziara ya kuzungumza na watumishi wote katika Mkoa wa Ruvuma kwa kuzungumza na watumishi wote waliopo katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma kwenye ukumbi wa Songea klabu.Katika kikao hicho watumishi hao walipata fursa ya kupata mada mbalimbali zikiwemo shughuli zinazotekelezwa na Benki ya CRDB,mada ya masuala ya kiutumishi,na shughuli zinazotekelezwa na mfuko wa pensheni ya PSSSF.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.