Pichani katikati ni Naibu Waziri wa Habari,Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhandisi Maryprisca Mahundi akiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed na viongozi wa Chama Mkoa wakiongozwa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Ruvuma Komred Odo Mwisho na wataalam kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa na Taasisi za serikali kwenye viwanja vya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa mjini Songea.
Mheshimiwa Mahundi amefanya ziara ya kikazi ya siku moja katika wilaya ya Songea ambako amekagua maeneo ya Maposeni na Mdunduwaro ambako inajengwa minara miwili ya mawasiliano inayounganishwa na mkongo wa Taifa ili kupanua wigo wa usikivu wa mawasiliano katika Jimbo la Peramiho na Mkoa wa Ruvuma kwa ujumla
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.