• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

Bodi ya Maji ya Bonde la Ruvuma na Pwani ya Kusini imepokea Pikipiki kumi

Imewekwa kuanzia tarehe: December 2nd, 2020

 BODI ya Maji Bonde la Ruvuma na Pwani ya Kusini imepokea Pikipiki 10 kutoka Wizara ya Maji na kugawa kwa Jumuiya za watumia Maji.

Akizungumza wakati wa Makabidhiano ya Pikipiki hizo mara  baada ya Kikao cha uzinduzi wa Jukwaa la wadau wa usimamizi na uendelezaji wa Rasilimali za Maji kilichofanyika Veta Manispaa ya Songea Mwenyekiti wa Bodi ya Bonde la Ruvuma na Pwani ya Kusini Cosmas Masawe amesema pikipiki hizo  kwaajili ya utendaji wa kutembelea vyanzo vya Maji na kuhakikisha vinakuwa salama.

Masawe akimkabidhi pikipiki Mwenyekiti  wa Jumuiya ya Watumia Maji ya Mto Lumeme  Kaskazini John Nzuyu  amesema kila aliyekabidhiwa kifaa cha usafiri ahakikishe anakitumia na kukitunza vizuri ili yasitokee makosa kwenye vyanzo vya Maji.

Mkurugenzi wa Bodi ya Maji Bonde la Ruvuma na Pwani ya Kusini  Sudi Mpemba  amesema lengo la kupata pikipiki kutoka Wizara ya Maji  ni kuirahisishia Jumuiya za watumia Maji kufuatilia vyanzo vya Maji kwa urahisi na kuhakikisha haviharibiwi na vinakuwa salama kwaajili ya matumizi endelevu.

“Tumefanya jambo kubwa sana kuhakikisha Rasilimali za Maji zinalindwa kwa zoezi ambalo amelifanya Mwenyekiti wetu wa Bodi ya Maji  Bonde la Ruvuma na Pwani ya Kusini kugawa kifaa cha utendaji cha usafiri wa kusimamia Rasilimali za Maji “.

Mpemba amesema wamepokea pikipiki kutoka Wizara ya Maji kwaajili ya Jumuiya ya Watumia Maji kwa Mabonde yote,ikiwa Bonde la Ruvuma na Pwani ya kusini imepata pikipiki 10 na saba imegawiwa kwa Jumuiya  na 3 zimegawiwa kwa ofisi ndogo za Mabonde zilizopo Lindi,Tunduru na Songea.

Imeandaliwa na Aneth Ndonde

Afisa Habari Halmashauri ya Madaba

Desemba 2,2020.

Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma December 31, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MBOLEA ya ruzuku yaipandisha kahawa nyasa kwa kiwango cha juu

    June 07, 2025
  • NMB yawasha moto Peramiho;Bonanza lenye elimu ya fedha na michezo lavutia wengi

    June 07, 2025
  • MBINGA DC Mail kuleta mapinduzi ya Biashara na ajira wilayani Mbinga

    June 07, 2025
  • MAPUMZIKO mema ya Sikukuu

    June 07, 2025
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.