Imewekwa kuanzia tarehe: July 18th, 2025
Katika bonde la kijani lililojaa mandhari ya kuvutia kusini mwa Tanzania, wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma sasa inang’aa kama nyota mpya ya utalii.
Kupitia uwekezaji wa Shilingi bilioni 2.1 kutoka ...
Imewekwa kuanzia tarehe: July 16th, 2025
Katika Halmashauri za wilaya za Madaba, Mbinga, Tunduru, Songea na Namtumbo mkoani Ruvuma, mapinduzi ya kiuchumi yanaendelea kuota mizizi kupitia usimamizi shirikishi wa misitu ya vijiji, ...
Imewekwa kuanzia tarehe: July 16th, 2025
Mkuu wa Wilaya ya Namtumbo, mkoani Ruvuma Mhe. Ngollo Malenya, ametambua na kuthamini juhudi za wadau mbalimbali wanaopambana kulinda misitu na mazingira ya asili wilayani humo.
...