Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Ruvuma kimeandaa MKUTANO MKUBWA WA HADHARA kuunga mkono azimio la Mkutano Mkuu wa CCM Taifa lililompendekeza Dkt Samia Suluhu Hassan kuwa Mgombea pekee wa Urais kupitia CCM, na Dkt Emanuel John Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza , pamoja na Dkt Hussein Ally Mwinyi kuwa Mgombea wa Zanzibar.
MKUTANO HUU UTAFANYIKA:
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.