Pichani Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Maboresho ya Kodi nchini, Balozi Maimuna Tarishi, akizungumza wakati wa kikao cha Tume hiyo na wafanyabiashara na wadau mbalimbali wa kodi mkoa wa Ruvuma. Tume hiyo imekusanya maoni na mapendekezo kutoka kwa walipa kodi wa Ruvuma na maeneo mengine nchini kote kwa lengo la kuboresha mfumo wa kodi na kuondoa malalamiko ya wananchi, wafanyabiashara, na wawekezaji.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.