• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

UCHOMAJI misitu hovyo unavyoathiri misitu wa serikali wa Matogoro Songea

Imewekwa kuanzia tarehe: September 17th, 2020

uchomaji misitu hovyo  unaofanyika karibu kila mwaka katika Msitu wa Serikali wa Matogoro uliopo katika Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma hali inayoleta athari za kimazingira kwa kuwa msitu huo ni chanzo cha mito muhimu mitatu mikubwa.

Mito hiyo ni Ruvuma ambao unamwaga maji yake Bahari ya Hindi,Mto Luhira ambao  ndiyo chanzo cha mto Ruhuhu unamwaga maji yake Ziwa Nyasa na Mto Luwegu ambao  unachangia asilimia 19 ya maji katika Mto Rufiji ambao unaingia Bahari ya Hindi.

Mto Luhira ndiyo chanzo muhimu cha  maji ambacho kinategemewa na Mamlaka ya Maji safi na Maji Taka Songea (SOUWASA) kwa ajili ya kusambaza maji katika Mji wa Songea.

Afisa Maliasili wa Mkoa wa Ruvuma Africanus Challe anasema Moto katika msitu wa Matogoro unateketeza eneo kubwa ambapo watumishi wa msitu huo kila mwaka wanafanya jitihada za kukabiliana na athari za uchomaji moto ikiwemo kutoa elimu kwa jamii kuhusu madhara ya moto kimazingira.

Challe anatoa rai kwa wananchi wanaozunguka msitu huo na kwa wadau wa mazingira wote kushirikiana na hifadhi ya misitu hiyo kukabiliana na matukio ya moto katika milima hiyo ili kuzuia uharibifu wa mazingira unaosababishwa na uchomaji wa moto kwenye msitu huo.

Anasema kutokana na uchomaji moto unaoendelea kufanywa ofisi ya hifadhi ya mlima Matogoro imefanya mazungumzo na mabonde ya maji ya ziwa Nyasa na bonde la maji ka mto Ruvuma ili kusaidiana kupanda miti ya asili katika maeneo yote ambayo yamevunwa miti na yalioungua ambapo mabonde yamechangia katika mradi wa miti.

Anasema Idara yake imechukua hatua mbalimbali za kulinda na kuhifadhi Msitu wa Serikali wa Matogoro na kuzuia uchomaji moto hovyo ambapo mwaka huu hadi sasa hakuna matukio ya moto kwenye msitu huo.

Imeandikwa na Albano Midelo

Afisa Habari Mkoa wa Ruvuma

Septemba 17,2020

Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma December 31, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MBOLEA ya ruzuku yaipandisha kahawa nyasa kwa kiwango cha juu

    June 07, 2025
  • NMB yawasha moto Peramiho;Bonanza lenye elimu ya fedha na michezo lavutia wengi

    June 07, 2025
  • MBINGA DC Mail kuleta mapinduzi ya Biashara na ajira wilayani Mbinga

    June 07, 2025
  • MAPUMZIKO mema ya Sikukuu

    June 07, 2025
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.