• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

WAKULIMA Ruvuma washauriwa kutumia trekta dogo rafiki wa mkulima

Imewekwa kuanzia tarehe: August 8th, 2020

WAKULIMA mkoani Ruvuma wameshauri kutumia trekta dogo rafiki wa mkulima ambalo linatumia mafuta lita mbili kulima hekari moja  kwa dakika 30.

Ushauri huo umetolewa katika maonesho ya nanenane mkoa wa Ruvuma na Venance Komba Afisa Masoko wa Kampuni ya ATC AGRO  inayojishughulisha na  uuzaji wa matrekta madogo ambayo yanauzwa kwa gharama nafuu

Komba amesema trekta hilo dogo linarahisisha kilimo  na kwamba trekta hilo linapatikana kwa gharama nafuu na rahisi kwacsababu siyo watu wengi wana uwezo wa  kununua trekta kubwa ya milioni 60 .

 ‘’Trekta hili ndogo linatumia gharama kidogo na kutoa matokea makubwa ,linatumia mafuta lita 2 kwa hekari,service yake ni ndogo unamwaga oil lita 10 kwenye gia boksi, ni nafuu kwa matumizi  ya mkulima mdogo’’,alisisitiza.

Komba amesema kwa Mkoa wa Ruvuma na mikoa mingine ya kusini  trekta hilo linapatikana kwa gharama ya shilingi milioni 27 .

Afisa masoko amesema kampuni yao imeingia mkataba na Benki ya  CRDB na kwamba Matrekta hayo yanapatikana kwa Mkopo au kulipa fedha taslimu.

Maonesho ya Nane nane hufanyika  kila mwaka hapa nchini ambapo kaulimbiu ya mwaka huu ni. ’kwa maendeleo ya kilimo,mifugo na uvuvi chagua viongozi bora 2020’’,kaulimbiu hii imelenga kuwasisitiza wananchi wote  kushiriki katika uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba 2020.

Imeandikwa  NA Anet Ndonde

Ofisi ya Habari Mkoa wa Ruvuma

Agosti 8,2020

Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma December 31, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MBOLEA ya ruzuku yaipandisha kahawa nyasa kwa kiwango cha juu

    June 07, 2025
  • NMB yawasha moto Peramiho;Bonanza lenye elimu ya fedha na michezo lavutia wengi

    June 07, 2025
  • MBINGA DC Mail kuleta mapinduzi ya Biashara na ajira wilayani Mbinga

    June 07, 2025
  • MAPUMZIKO mema ya Sikukuu

    June 07, 2025
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.