Imewekwa kuanzia tarehe: May 14th, 2025
Mwenge wa Uhuru umeendelea na mbio zake katika Halmashauri ya Mji wa Mbinga mkoani Ruvuma kwa kukagua mradi wa jengo la wagonjwa wa nje OPD katika zahanati ya Mtakatifu Gabriel inayomilikiwa na kanisa...
Imewekwa kuanzia tarehe: May 13th, 2025
Mwenge wa uhuru umeendelea na mbio zake mkoani Ruvuma kwa kupitia miradi kumi yenye thamani ya shilingi bilioni 1.2 katika Halmashauri ya Mji wa Mbinga.
Kiongozi wa mbio za mwenge kitaifa wa ...
Imewekwa kuanzia tarehe: May 12th, 2025
MWENGE wa uhuru 2025 umepitia na kuridhishwa na utekelezaji wa miradi tisa yenye thamani ya shilingi bilioni 82 katika wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma.
Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Mheshimiwa Peres Magiri...