Imewekwa kuanzia tarehe: May 27th, 2025
Katika uongozi wa serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan, Mkoa wa Ruvuma umeshuhudia mageuzi makubwa yasiyo na kifani katika sekta ya afya, kwa kutumia zaidi ya shiling...
Imewekwa kuanzia tarehe: May 27th, 2025
Katika eneo la Migelegele wilayani Namtumbo mkoani Ruvuma sasa kunasikika kelele za matumaini na ndoto mpya kupitia Sekondari ya Wasichana ya Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Shule hiyo ya kis...
Imewekwa kuanzia tarehe: May 26th, 2025
Wakazi wa Mkoa wa Ruvuma wamepata neema kubwa ya huduma bora za afya baada ya kuzinduliwa rasmi kwa kambi ya madaktari bingwa na bingwa bobezi 57 kupitia mpango wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan. ...