Imewekwa kuanzia tarehe: March 17th, 2025
Mkoa wa Ruvuma umeendelea kufanya vizuri katika sekta ya kilimo, ambapo kwa msimu wa kilimo wa 2023/24 umezalisha tani milioni 1,955,763.76 za mazao ya chakula.
Akizungumza kwenye kikao cha Kamati ...
Imewekwa kuanzia tarehe: March 16th, 2025
Serikali imeendelea kutoa fedha nyingi kwa ajili ya kutekeleza miradi ya maendeleo katika sekta mbalimbali muhimu kama elimu, afya, maji, barabara, nishati, kilimo, na miundombinu mingine ikiwemo band...
Imewekwa kuanzia tarehe: March 16th, 2025
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed amesema Halmashauri zote nane zimefikia kiwango cha kuridhisha cha upatikanaji wa maji ambapo tayari miradi 23 ya maji iliyogharimu shilingi bilioni 25....