Imewekwa kuanzia tarehe: February 20th, 2025
Mji wa mashujaa wa Songea , mkoani Ruvuma, shamrashamra za kumbukizi maalum za Mashujaa wa Vita ya Majimaji zimeanza kushika kasi, huku maandalizi yakiendelea kwa ajili ya tukio hili muhimu la kihisto...
Imewekwa kuanzia tarehe: February 19th, 2025
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Kanali Ahmed Abbas Ahmed, amewataka maafisa elimu kata wa Mkoa wa Ruvuma kujipanga upya na kutimiza wajibu wao ili kuondokana na changamoto za kutofanya vizuri kitaaluma....
Imewekwa kuanzia tarehe: February 19th, 2025
Muonekano wa hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma iliyojengwa katika kijiji cha Mpitimbi.Kukamilika kwa mradi huu kumepunguza changamoto ya wananchi wa eneo hilo kusafiri umbali ...