Imewekwa kuanzia tarehe: April 26th, 2025
Ukitaka kushuhudia maajabu ya asili, historia ya ukombozi wa Afrika, na uzuri wa utalii wa kipekee unaovutia kwa macho na roho, basi safari yako lazima ipitie Mto Ruvuma ,mto mrefu kuliko yote Afrika ...
Imewekwa kuanzia tarehe: April 24th, 2025
Wananchi wa vijiji vya Magazini, Sasawala, Amani na Likusanguse wilayani Namtumbo mkoani Ruvuma wameishukuru Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuwapatia gari la kubebea wagonjwa katika K...
Imewekwa kuanzia tarehe: April 23rd, 2025
Na Albano Midelo
Katika bonde la kijani lililojaa mandhari ya kuvutia kusini mwa Tanzania, wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma sasa inang’aa kama nyota mpya ya utalii.
Kupitia uwekezaji wa Shilingi...