BOFYA hapa chini kumsikiliza Teresa Nyirenda ambaye ni Mkurugenzi wa Saint Teresa Orphans Foundation STOF nchini Marekani,ambaye ni raia wa Tanzania kutoka Songea mkoani Ruvuma.Msikilize katika mada adimu inayohusu namna ya kupambana na corona katika ngazi ya familia.tafadhali msikilize kwa makini kwa sababu elimu hii ni muhimu kwa watanzania wote hasa katika kipindi hiki cha vita ya corona ambayo ni janga la Dunia
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.