Waziri wa Mipango na Uwekezaji Profesa Kitila Mkumbo ampongeza Mwekezaji wa Shamba la uzalishaji mbegu la Silver Ndolela ambalo lenye ukubwa wa Hekta 5000 lililopo Halmashauri ya Madaba Mkoani Ruvuma Profesa Mkumbo ametoa pongezi hizo wakati alipofanya ziara ya kutembelea na kukagua shamba hilo ambapo amesema kuwepo kwa shamba hilo litaenda kupunguza tatizo la mbegu nchini na kuzidi kuwaimarisha wakulima katika shughuli za kilimo
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.