Posted on: April 3rd, 2025
Ili kupunguza hali duni ya lishe mkoani Ruvuma, Wizara ya Afya imeandaa semina maalum kwa waandishi wa habari na wadau wa lishe.
Semina hiyo imelenga kuwajengea uwezo kuhusu kanuni za uon...
Idadi ya Watu mkoa wa Ruvuma = Idadi ya watu mkoani Ruvuma kwa mujibu wa sensa ya mwaka 2022 jumla ya watu 1,848,794 kati yao wanaume 902,298 na wanawake 946,496