• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

TAARIFA ya TRA Mkoa wa Ruvuma

Posted on: December 29th, 2022

MAMLAKA YA MAPATO TANZANIA (TRA) MKOA WA RUVUMA

TAARIFA YA UTENDAJI KAZI WA MAMLAKA YA MAPATO (TRA) MKOA WA    RUVUMA.

  • UTANGULIZI:
  • Kuwasilisha taarifa inayoelezea utendaji kazi wa Mamlaka ya Mapato (TRA) Mkoa wa Ruvuma kwa kipindi cha mwaka wa fedha 2021/2022 na kipindi cha JULAI mpaka NOVEMBA kwa mwaka wa fedha 2022/2023.
  • MAKUSANYO JULAI 2021- JUNI  2022
  • Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa kwa kipindi cha mwaka wa fedha 2021/2022 tulikua na lengo la kukusanya TZS 19,553,627,572.74 tuliweza kukusanya TZS 19,850,805,877.61 sawa na asilimia 101.52%, mchanganuo wa lengo na makusanyo kwa kila mwezi ni kama ifuatavyo: -
  •  
  • Jedwali Na. 73. Lengo na Makusanyo ya Mapato 2021/2022
Mwezi
Mwaka
 Lengo la Mwezi  
  Makusanyo Mwezi  

Utendaji

JULAI

2021

1,430,800,000.00
          991,300,000.00

69.28%

AGOSTI

2021

1,459,900,000.00
       1,846,300,000.00

126.47%

SEPTEMBA

2021

1,829,000,000.00
       1,612,200,000.00

88.15%

OKTOBA

2021

1,718,200,000.00
       1,384,900,000.00

80.60%

NOVEMBA

2021

1,684,000,000.00
       1,142,590,000.00

67.85%

DISEMBA

2021

2,260,500,000.00
       2,238,320,000.00

99.02%

JANUARI

2022

1,723,300,000.00
       1,284,940,000.00

74.56%

FEBRUARI

2022

1,644,700,000.00
       1,383,750,000.00

84.13%

MACHI

2022

1,514,860,000.00
       1,843,450,000.00

121.69%

APRILI

2022

1,243,400,000.00
       1,845,720,000.00

148.45%

MEI

2022

1,267,000,000.00
       1,643,800,000.00

129.74%

JUNI

2022

1,778,200,000.00
       2,633,600,000.00

148.11%

JUMLA

19,553,860,000.00
     19,850,870,000.00 

101.52%

  • MAKUSANYO JULAI 2022- NOVEMBA 2022

Kwa kipindi cha JULAI mpaka NOVEMBA kwa mwaka wa fedha 2022/2023 tulikua na lengo la kukusanya TSHS. 8,674,550,000/= tumefanikiwa kukusanya TSHS. 8,891,310,000/= sawa na asilimia 102.5%, mchanganuo wa lengo na makusanyo kwa kila mwezi ni kama ifuatavyo: -

  • Jedwali Na. 74. Lengo na Makusanyo ya Mapato Julai 2022 – Novemba 2022


Mwezi
Mwaka
 Lengo la Mwezi  
  Makusanyo Mwezi  

Utendaji

JULAI

2022

1,671,900,000.00

1,556,900,000.00

93.12%

AGOSTI

2022

1,652,200,000.00

1,616,000,000.00

97.81%

SEPTEMBA

2022

1,874,500,000.00

2,151,100,000.00

114.76%

OKTOBA

2022

1,765,900,000.00

1,966,360,000.00

111.35%

NOVEMBA

2022

1,710,050,000.00

1,600,950,000.00

93.62%

JUMLA
 

8,674,550,000.00

8,891,310,000.00

102.50%


  • 4  MIKAKATI NA MALENGO
  •  
  • Kuwatembelea walipakodi na kuwahimiza ulipaji wa malimbikizo ya madeni ya kodi wanazodaiwa;
  • Kuendelea na zoezi (KAMATA WOTE) kwa dhumuni la kuwakamata wanunuzi wote ambao hawadai risiti kwa manunuzi mbalimbali watakayoyafanya na wauza bidhaa wote wasiotoa risiti;
  • Kuhamasisha na kusimamia matumizi ya Stempu za kielektroniki kwa kutembelea maeneo ya mauzo ya vimiminika kuhakiki uhalali wa stempu maeneo hayo kama, Baa, Majumba ya Starehe, Maduka ya viywaji;
  • Kutembelea maeneo mbalimbali kama, songea vijijini, songea wilayani ili kuongeza wigo wa walipakodi;
  • Kusimamia ukaguzi wa bidhaa zote zinazoingia nchini, kwa kufuata utaratibu mujibu wa sheria za forodha na ushuru, ikiwa pamoja na kuthaminisha thamani ya mizigo hiyo;
  • Kusimamia ubadilishaji umiliki wa vyombo vyote vya moto kutoka kwa wanufaika wa misamaha kwenda kwa wasio wanufaika wa misamaha;
  • Kufanya doria katika sehemu mbalimbali ndani ya mkoa ili kudhibiti mianya yote ya bidhaa kuingizwa kwa njia ya magendo;
  • Kutambua idadi ya majengo na mabango kwa kushirikiana na watendaji wa mitaa kwaajili ya utekelezaji wa kukusanya kodi za pango Pamoja na ushuru wa mabango;
  • Kuwaleta karibu washikadau wa Mamlaka ya Mapato kama TCCIA na JWT, kuwakusanya wamiliki wa biashara ili wahudhurie semina stahiki za kodi.
  •  
  •  

“Pamoja Tunajenga Taifa Letu”

Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma December 31, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KIONGOZI mwenge wa Uhuru aonya rushwa kwenye uchaguzi

    May 10, 2025
  • MWENGE wa Uhuru waikubali miradi yote Madaba

    May 09, 2025
  • RC Ruvuma ALIVYOSHIRIKI Makabidhiano mradi wa ujenzi wa Chuo cha Uhasibu Songea

    May 08, 2025
  • SERIKALI yatenga bilioni 18.5 kujenga chuo kikuu Ruvuma

    May 08, 2025
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.