UJENZI wa Bandari ya Kisasa ya Ndumbi ziwa Nyasa wilayani Nyasa mkoani Ruvuma,inatajwa kuwa itakuwa ni kichocheo cha ukuaji wa uchumi ukanda wa kusini.Bandari hiyo inaunganisha ushoroba wa Mtwara kuanzia Mtwara hadi Mbambabay ziwa Nyasa.Soma habari kwa kina hapa https://www.habarileo.co.tz/habari/2021-06-2060cf554c14888.aspx
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.