Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan imetoa zaidi ya shilingi bilioni 2.5 kutekeleza mradi wa ujenzi wa hospitali ya Halmashauri ya wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma.Hospitali hiyo imeanza kutoa huduma muhimu za afya kwa wananchi
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.