Chifu wa Tano wa kabila la Wangoni Nkosi Emanuel Zulu Gama ameweka shada la maua katika kaburi la pamoja ambalo walizikwa mashujaa 66 wa vita ya Majimaji waliouwa kwa kunyongwa na wajerumani Februari 27,1906. Chifu ameweka maua hayo katika tamasha la kumbukizi ya miaka 117 ya mashujaa wa vita ya Majimaji ambapo mgeni rasmi alikuwa ni Naibu Waziri wa Maliasili na utalii mheshimiwa Mary Masanja
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.