Ghala la Chama cha Namatili (AMCOS ltd) ambalo limezinduliwa hivi karibuni na Mrajis wa Vyama vya Ushirika na Mtendaji Mkuu wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania Dkt, Benson Ndiege, ujenzi wa Ghala hilo umegharimu shilingi Milioni 69 ambapo fedha hizo za ujenzi zimatokana na mapato ya chama hicho Namatili (AMCOS ltd) kilichopo katika tarafa ya Nakapanya wilayani Tunduru mkoani Ruvuma
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.