Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas akikagua ujenzi wa daraja wakati alipotembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa daraja hilo la mawe katika barabara ya Lipupuma-Mgombezi-Chechengu Halmashauri ya Madaba lililogharimu shilingi milioni 153 badala ya milioni 500.
Daraja hilo linaunganisha vijiji vya Lipupuma,Mgombezi na Chechengu ambapo linajengwa na Kampuni ya Gewa General Enterprises ya Morogoro kwa usimamizi wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA)
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.